KIUNGO nyota wa kimataifa wa Uingereza, Jack Wilshere anaweza kukosa michezo muhimu ya kufuzu michuano ya Kombe la Dunia baina ya timu ya taifa ya nchi hiyo dhidi ya San Marino na Montenegro. Nyota huyo anayecheza katika klabu ya Arsenal ataukosa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Bayern Munich utakaochezwa kesho baada ya kushindwa kupona majeraha katika kifundo cha mguu ambayo aliyapata katika mchezo dhidi ya Tottenham Hotspurs siku tisa zilizopita.
Pages
▼
Wednesday, March 13, 2013
WELSHARE NJE WIKI TATU, KUZIKOSA MECHI ZA SWANSEA NA BAYERN
KIUNGO nyota wa kimataifa wa Uingereza, Jack Wilshere anaweza kukosa michezo muhimu ya kufuzu michuano ya Kombe la Dunia baina ya timu ya taifa ya nchi hiyo dhidi ya San Marino na Montenegro. Nyota huyo anayecheza katika klabu ya Arsenal ataukosa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Bayern Munich utakaochezwa kesho baada ya kushindwa kupona majeraha katika kifundo cha mguu ambayo aliyapata katika mchezo dhidi ya Tottenham Hotspurs siku tisa zilizopita.
No comments:
Post a Comment