Bao pekee la Dimitar Berbatov la dakika ya 52
kipindi cha pili jana Fulham wakiwa ugenini White Hart Lane limewapa ushindi na
kuweza kuwasimamisha Spurs kwa kichapo kutoka kwa mchezaji wao wa zamani
Berbatov Tottenham alipofunga Bao moja na kutoka kidedea kwa Bao
1-0.
Gareth Bale alikosa Bao
kuifungia Tottenham pale kichwa chake kilipookolewa mstarini na Beki Sascha
Riether ambaye pia kwenye Dakika ya 52 ndio iliunganishwa na Berbatov na kuwapa
Bao la ushindi Fulham.
Kipigo hiki cha leo ni pigo kwa Tottenham ambao
wamekamata nafasi ya 4 wakiwa Pointi 4 mbele tu ya Arsenal wenye Mechi moja
mkononi.
Meneja wa Fulham Martin Jol akisalimiana na meneja mwezie
wa Tottenham Hotspur Andre Villas-Boas leo kabla ya mtanange.

Gareth Bale akivutwa juu baada ya kuumia

Kipa wa Fulham Mark Schwarzer akiokoa mpira kwa mguu mbele
ya Gareth Bale

Mchezaji wa Tottenham Hotspur Gareth Bale kushoto akichuana
na Philippe Senderos

Dimitar Berbatov akiweka mtu kati kati ya Jan Vertonghen
(katikati) na Steven Caulker

Mbulgaria Dimitar Berbatov akitupia kuwawasha Spurs

Tulieni...

Dimitar Berbatov akipongezwa na wenzake
VIKOSI:Tottenham:
Lloris, Naughton, Caulker, Dawson (Dempsey 46), Vertonghen, Sigurdsson (Defoe
62), Dembele (Carroll 67), Parker, Assou-Ekotto, Adebayor, Bale.
Subs not
used: Friedel, Walker, Holtby,
Livermore.Booked: Dempsey.Fulham:
Schwarzer, Riether, Senderos, Hangeland, Riise, Dejagah, Sidwell, Karagounis
(Enoh 77), Duff, Ruiz (Emanuelson 90), Berbatov. Subs not used: Etheridge, Hughes, Richardson, Petric,
Rodallega.Booked: Dejagah.Goals: Berbatov
52.Att: 36,004.Referee: Mike
Jones (Cheshire
No comments:
Post a Comment