Pages

Wednesday, March 13, 2013

AMA KWELI UJUZI HAUZEEKI, MZEE KASIM MAPILI AKIPIGA GITAA

 
Mwanamziki mkongwe, Kasim Mapili akionyesha Staili tofauti za upigaji wa Gitaa wakati wa uzinduzi Mradi wa kuimarisha Ushiriki wa wakulima wadogo kwenye mijadala ya Ki-sera na ufuatiliaji wa kuboresha uhakika wa chakula Afrika Mashariki uliofanyika Dar es Salaam leo


No comments:

Post a Comment