Pages

Saturday, February 16, 2013

SIMBA KESHO KUIVAA LIBOLO UWANJA WA TAIFA

Kocha Moses Basena akifanya mazoezi mpamoja na wachezaji jana jioni uwanja wa Taifa


Kocha Mkuu Leiwing akifuatillia kwa karibu wachezaji wakifanya mazoezi

TIMU ya Simba kesho itaingia uwanjani kuchezana Libolo ya Angola kwenye mchezo wa klabu bingwa Afrika utakaochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Wageni wa Simba, Libolo waliwasili nchini mapema ili kuizoea hali ya hewa ya Dar es salaam na wamekuwa wakifanya mazoezi kwenye viwanja vya Gymkhana.
Mchezo huu utakuwa mgumu lakini na Simba nao wamejiandaa vema kukabiliana nao
Wachezaji wa Simba wamesema wana hakika mchezo huo watashinda na kuwaomba mashabiki kufika kwa wingi uwanja wa Taifa kuwashangilia

No comments:

Post a Comment