Pages

Saturday, February 16, 2013

NIGERIA WAPOKELWA BUNGENI KIFALME BAADA YA KUTWAA KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA NCHINI AFRIKA KUSINI HIVI KARIBUNI

Timu ya Nigeria Super Eagles wakiwa Bungeni

Vijana hao wa Super Eagles, wamekuwa wakiimarika kila hatua ya mashindano hayo, hasa baada ya kufuzu kutoka katika makundi. Ni katika hatua ya makundi ambapo mabingwa watetezi, Zambia walitolewa na kuachia kombe hilo kufukuziwa na timu nane zilizoingia robo fainali, na hatimaye timu mbili zilizotinga fainali, Nigeria na Burkina Faso hatimaye Super Eagles ikaibuka kidedea


KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA NIGERA STEPHEN KESHI AKISALIMIANA NA BAADHI YA WABUNGE WA NCHI HIYO ALIPOWASILI KATIKA UKUMBI WA BUNGE NCHINI NIGERIA
Hapa ni baadhi ya picha wakati wanashuka kwenye uwanja wa Ndege na kupokelewa na umati wa watu wa Nchi hiyo.



Steven Keshi
 

No comments:

Post a Comment