Mratibu wa mpambano wa ubingwa wa Taifa, Pendo Njau
katikati akiwangalia mabondia Maneno
Osward kushoto na Japhert Kaseba
wanavyotunishiana misuri Dar es salaam wakati wa kutambulisha mpambano
wao wa ubingwa wa Taifa utakaosimamiwa na
PST March 2 katika ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa |
No comments:
Post a Comment