Wachezaji wa Young Africans wakisalimiana na wachezaji wa Denizlispor kabla ya kuanza kwa mchezo leo jioni. |
Kikosi cha Young Africans kilichoanza dhidi ya Denizlispor fc katika mchezo wa kirafiki uliofanyika leo katika viwanja vya Selen Football - Kalemya Complex. |
Mpaka mwisho wa mchezo Young Africans 1- 2 Denizlispor FC.
No comments:
Post a Comment