Wachezaji wa Tanzania wakiwa na makocha wao na kikombe walichotwaa |
Mama Inger Njau akipokea zawadi kwa kufanikisha mashindano ya tenesi kwa kipindi cha miaka miwili |
Mchezaji Georgina Kaindoah akiwa na wazazi wake ambao wamekuwa wakimsapoti kipindi chote cha mashindano, Georgina alifanikiwa kufika fainali na kushika nafasi nya pili kwa wasichana U-14 |
Wachezaji Elina Mfinanga na Zuhura Mfinaga wakiwa na Katibu wa Tenesi Tanzania Inger Njau baada ya kuvalishwa medali za dhahabu kwa kushinda mchezo wa wachezaji wawili |
Emanuel Mally akicheza mchezo wa fainali uliodumu takribani saa nne lakini alipoteza |
No comments:
Post a Comment