Baada ya kufanikiwa kupata ridhaa ya wanachama wa klabu ya Yanga kuiongoza klabu hiyo katika nafasi ya mwenyekiti hatimaye Yusufu Manji (Pichani juu) amejitokeza tena kwa mara nyingine tena katika kutaka kuongoza zaidi mpira wa miguu nchini safari hii akitaka kuwa mwenyekiti wa bodi ya ligi kuu ambayo itakuwa na dhamana ya kusimamia ligi kuu nchini Tanzania. Pichani anaoenekana akiwa na Aloyce Kakwaya karani wa TFF na Rahimu Zamunda mkugenzi wa klabu ya Afrikan Lyon aliyemsindikiza. |
No comments:
Post a Comment