Pages

Wednesday, December 19, 2012

ZUKU NA MAXMALIPO WAJA NA TEKNOLOJIA MPYA


 Meneja  Mkazi  Zuku Tanzania, Fadhili Mwasyeba akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutia saini makubaliano ya Ushirikiano na Kampuni ya Zuku Pay Tv, ambapo wateja wa Zuku watalipia ada zao za mwezi kupitia huduma ya Maxmalipo. Kulia ni Mkuu wa Uendeshaji Kampuni ya Maxmalipo, Ahmed Lussasi.
Mkuu wa Uendeshaji Kampuni ya Maxmalipo, Fadhili Lussasi akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
Mkuu wa Uendeshaji Kampuni ya Maxmalipo, Ahmed Lussasi, (kulia) akionesha mashine ya Maxmalipo  ya Kampuni ya  Maxcom Africa wakati wa mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo wakati wa kutia saini makubaliano ya Ushirikiano na Kampuni ya Zuku Pay Tv, ambapo wateja wa Zuku watalipia ada zao za mwezi kupitia huduma ya Maxmalipo. Kushoto ni Meneja  Mkazi  Zuku Tanzania, Fadhili Mwasyeba

No comments:

Post a Comment