Mchawi wa soka barani Afrika Abeid Ayew Pele leo amesheherekea siku yake ya kuzaliwa nchini Tanzania.
Pele ambaye pia ni balozi wa heshima wa FIFA yup nchini Tanzania kwa ziara ya kuhamasisha soka hasa la vijana akiwa na Ashford Mamelod na Emanuel Maradas walitembelea kituo cha soka cha Azam ambacho kipo Chamazi nje ya jiji la Dar es Salaam.
Akiwa huko ghafla alishtikizwa kwa kuimbiwa wimbo wa happy birthday na keki iliyopamba mithili ya uwanja wa soka (Mpira) wenye magoli ambayo aliandaliwa na uongozi wa Azam
Pele mwenyewe alifurahi kwa kufanyiwa ya kuzaliwa kwake ambaye leo ametimiza miaka 48 ya kuzaliwa kwake.
Endelea kufuatia picha matukio mbalimbali ya leo kwenye ziara aliyofanya baada ya kuongea na waandishi wa habari leo
Abeid Pele akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi zilizopo kwenye academy ya Azam |
Abeid Pelle ambaye leo ametimiza miaka 48 akikakata keki aliyofanyiwa surprise na uongozi wa Azam leo |
Pele akikabidhiwa jezi ya Azam |
Adeid Pele akiongea na waandishi na wahari kwenye ofisi za TFF |
Abeid Pele akikagua uwanja wa Azam akiwa amefuatana na viongozi mbalimbali wa TFF na ujumbe wa FIFA alioambatana nao |
Emmanuel Maradas akimkabidhiwa jezi ya Azam |
Emmanuel Maradas Mjumbe wa kamati inayohusika na vyombo vya habari ya FIFA na CAF akiongea na vyombo vya habari leo kwenye ofisi za TFF zilizoko Karume |
No comments:
Post a Comment