Pages

Monday, October 8, 2012

TENGA KUKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania Leodgar Tenga leo atakutana na kuzungumza na waandishi wa habari  leo mnamo saa sita mchana kwenye ofisi za TFF zilizopo Karume mtaa wa Shauri moyo.

No comments:

Post a Comment