Pages

Friday, October 5, 2012

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA MCHEZO WA SIMBA NA YANGA

Ernie Brandts kocha wa Yanga akiwasili uwanjani

Milovan Circovic kocha wa Simba akiwasili uwanjani

Wachezaji wa Yanga wakishuka kwenye basi

Wachezaji wa Simba wakishuka kwenye basi

Wachezaji wa Yanga wakipasha kabla ya mchezo kuanza

Wachezaji wa Simba wakipasha kabla ya mechi kuanza

Baadhi ya mashabiki wa   Yanga waliohudhuria

Baadhi ya mashabiki wa Simba waliohudhuria

:"Nakutakia mchezo mwema" Makocha wakitakiana kila la kheri





Beki wa Yanga Kelvin Yondani akitolewa nje kwa machela baada ya kuumia

Waamuzi wakitoka uwanjani

Daniel Akuffo na Yaw Berko ambao ni raia wa Ghana wakisalimia baada ya mchezo kumalizika

Hivi ndivyo matokeo yalivyosomeka baada ya dakika 90

No comments:

Post a Comment