Pages

Thursday, September 27, 2012

TENGA KUKUTANA NA WAANDISHI MUDA MFUPI UJAO


Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga atakutana na waandishi wa habari saa 6 kamili mchana. Mkutano huo utafanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa TFF.
 
Boniface Wambura
Ofisa Habari
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
 

No comments:

Post a Comment