Pages

Friday, September 21, 2012

MATUKIO MBALIMBALI KWENYE MASHINDANO YA NGUMI ZA RIDHAA YALIYOMALIZIKA JANA

Jamal Rwambow akivalishwa gloves na mmoja wa waamuzi wa ngumi waliokuwa wanachezesha mashindano ya ngumi kwa ajili ya kuashiria ufunguzi

Mjumbe wa Baraza la michezo Jamal Rwambow akipiga ngumi hewani kuashiria kufungua mashindano ya ngumi



Bondia wa kike Mather George Kilimanjaro  (aliyevaa red) akimsukumizia konde Irene Kimaro wa Tabora (aliyevaa bluu) kwenye mashindano ya ngumi za ridhaa ya Taifa yaliyokuwa yanafanyika kwa siku 4 jijini Dar es salaam.

Bondia wa kike Esther Kimbe wa Ngome akimrushia ngumi Mariam Nyerere wa Dodoma kwenye mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu jana



Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, michezo utamaduni na vijana akisalimiana na mabondia wa timu ya Ilala wakati akifunga mashindano ya ngumi jana



Bondia Nuru Ibrahim wa Magereza akiwa amelala ulingoni baada ya kupokea konde zito toka kwa Haruna Swanga wa Ngome kwenye mashindano ya ngumi za ridhaa yaliyomalizika jana jijini Dar es salaam

Meneja wa timu ya Ngumi ya JKT akipokea kikombe baada ya timu yake kutangawa bingwa wa ngumi, JKT ilipata pointi 17 kwenye mashindano ya ngumi za ridhaa za Taifa

No comments:

Post a Comment