Mama shikamoo! Karibu Ikulu maana wewe najua maisha ya ikulu ulishayapitia! Rais Paul Kagame akimkaribisha mama Karume Ikulu |
Karibuni Ikulu, Rais Paul Kagame akiwakaribisha wana yanga ikulu |
Tunakulikiziliza mkuu maana tupo ndani ya himaya yako |
"Hili ndilo Kombe ulilotoa tulishindanie na sisi tumelichukua mara mbili mfululizo" Maneno ya Canavaro wakati akimkabidhi Rais wa Rwanda kombe pembeni ni kocha Tom Saintfiet |
Hii ni mali yako, Rais Kagame akikabidhiwa jezi ya Yanga |
Wachezaji wa Yanga na benchi la ufundi wakiwa Ikulu ya Rwanda pamoja na Rais wa Rwanda Paul Kagame. (Picha zote na Saleh Ally aliyeko Rwanda) |
No comments:
Post a Comment