Ligi
kuu ya Soka la England inatarajia kuendelea tena Wikiendi hii baada ya
kupisha michuano ya FA CUP ambapo Jumamosi kutakuwa na michezo sita. Vinara
wa ligi Leicester city dhidi ya Norwich city, Southampton na Chelsea,
Stoke itaikaribisha Aston Villa, Watford itaivaa Bournemouth, West Brom
na Crystal Palace, West Ham itaikaribisha Sunderland. Jumapili
ligi hiyo itaendelea tena kwa michezo miwili Manchester united watakuwa
wenyeji wa Arsenal uwanja wa Old Traford, na Tottenham wakiwakaribisha
Swansea city, huku michezo miwili ikiaharishwa Liverpool itachuana na
Everton,New castlle watakuwa wenyeji wa Manchester city.
SIMBA SC YACHAPWA MABAO 2-0 NA AL MASRY
-
TIMU ya Simba SC imechapwa mabao 2-0 na wenyeji, Al Masry katika mchezo wa
kwanza wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika leo Uwanja wa New Suez
mjini...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
TAKUKURU Kubaini Mamluki Michezo Mei Mosi 2020
-
*Wajumbe wa Kamati ya Michezo ya mashindano ya Mei Mosi wakiwa kwenye kikao
cha Kwanza cha maandalizi ya michezo hiyo kilichofanyika mwishoni mwa wiki
k...
Itazame Simulizi mpya iliyopewa jina la ‘Kinyago’
-
Kwa nafasi ya upendeleo New Talents tunachukua fursa hii kukupa nafasi ya
kwanza kuitazama hii video ya Simulizi mpya iliyo beba ujumbe mkubwa
unaotakiwa ...
Giroud ajiunga na Chelsea
-
Chelsea imekamilisha usajili wa Oliver Giroud kutoka Arsenal kwa ada ya
paundi milioni 18. Washika mitutu wamekubali kumuuza Giroud kwa wapinzani
wao wa ...
Post a Comment