Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, December 9, 2015

MAN UNITED AONDOLEWA UEFA CHAMPIONS LEAGUE SASA KUSHIRIKI MASHINDANO EUROPA LEAGUE

Manchester United imefungwa 3-2 na Wolfsburg Bao 3-2 kwenye Mechi ya Kundi B la UEFA CHAMPIONS LIGI, UCL na kutupwa nje na sasa kucheza Raundi ya Mtoano ya EUROPA LIGI.3-2Kipigo hicho, na ushindi wa PSV Eindhoven wa Bao 2-1 dhidi ya CSKA Moscow, kumezifanya Wolfsburg na PSV kufuzu kwenda Raundi ya Mtoano ya UCL na Man united kumaliza Nafasi ya 3.
Hii ni mara ya kwanza kabisa kwa Wolfsburg kucheza Raundi ya Mtoano ya UCL. 
Naldo akipeta...
Huko Santiago Bernabeu, Cristiano Ronaldo alifunga Bao 4, Karim Benzema kupiga 3 na moja la Mateo Kovacic na kuwapa ushindi Real wa Bao 8-0 toka Kundi A.
Real, na PSG, ambao wameshinda 2-0 walipocheza na Shakhtar Donetsk zote zimesonga na Shakhtar itakwenda EUROPA LIGI.

Man City, ambao walikuwa washafuzu toka Kundi D, Leo wameichapa Borussia Mönchengladbach 4-2 na kumaliza kileleni mwa Kundi hilo na kufuatiwa na Juventus ambao Leo walifungwa 1-0 na Sevilla ambao wamemaliza Nafasi ya 3 na hivyo kwenda EUROPA LIGI.
Van Gaal akipagawa baada ya kutupwa njeNaldo ndiye aliyepeleka kilio baada ya kufunga bao la tatu kwa WolfsburgNaldo akitupia kwa kichwa mpira wa konaAkitupia bao la piliMata akishangilia baoMan United wakipongezana...Akishangilia bao1-1Raha ya kufunga bao!Kikosi cha Man United Van GaalSir Alex Ferguson Sir Bobby