
Arsenal iliichapa AS Monaco 2-0 kwao Stade Louis II Jijini Monaco ambako hawajafungwa tangu 2005 lakini wametupwa nje ya UEFA kwa Bao za Ugenini na hii ni mara ya 5 mfululizo kwa Arsenal kushindwa kutinga Robo Fainali.
Arsenal walifungwa kwao Emirates Bao 3-1 na matokeo ya usiku huu kufanya Jumla ya Mabao kwa Mechi mbili kuwa 3-3 na AS Monaco kutinga Robo Fainali kwa Ubora wa Bao za Ugenini.
Hii ni mara ya kwanza kwa AS Monaco kufika Robo Fainali tangu 2004.
Dakika ya 79 kipindi cha pili Aaron Ramsey aliwapachikia bao la pili na kufanya 2-0 dhidi ya As Monaco.



Kocha Wenger akitoka Uwanjani baada ya kupokea matokeoGibbs akiwa kichwa chiniMdebwedooo!






Santi Cazorla akijionea Arsenal wakitupwa nje kwenye Champions Ligi huko Monaco usiku huu ambapo waliweza kuifunga bao 2-0 lakini bao la Ugenini kuibeba Monaco

Wachezji wa Monaco pamoja na Baadhid ya Viongozi wakishangilia baada ya kuiondosha Arsenal kwenye Uefa Champions League.


Olivier Giroud hoi

Mesut Ozil hivyo hivyo nae kachoka mbaya


Bao!

Giroud aliwafungia bao Arsenal dakika ya 36

Giroud akishangilia bao lake

Aaron Ramsey nae aliweza kufunga bao dakika ya 79

Ramsey akishangilia pamoja na Per Mertesacker

Laurent Koscielny akishangilia bao la Ramsey






Alexis Sanchez akioneshwa kadi ya njano na Mwamuzi baada ya kujiangusha ndani ya box



UEFA CHAMPIONS LEAGUE
RATIBA
Marudiano - Raundi ya Mtoano ya Timu 16
Mechi kuanza Saa 4 Dak 45 Usiku
Jumanne Machi 17
AS Monaco vs Arsenal [3-1]
Atlético Madrid vs Bayer Leverkusen [0-1]


Arsene Wenger kikosi chake uso kwa uso na As Monaco leo huko Stade Louis II

Pia, AS Monaco wana Difensi kigaga ambayo imeruhusu Bao 7 tu katika Mechi zao 22 zilizopita.
Mbali ya vikwazo vyote hivyo, Arsene Wenger, Meneja wa Arsenal aliewahi kuifundisha AS Monaco, anajiamini kuwa Timu yake itashinda na kufuzu.

Dimitar Berbatov akishangilia bao Monaco ilipowachapa 3-1 dhidi ya
Arsenal katika mtanange wa kwanza huko Emirates mwezi uliopita.
No comments:
Post a Comment