

Bao la tatu lilifungwa kipindi cha pili dakika 55 na Munir El Haddadi na akiongeza tena bao lake la pili katika dakika ya 78.
Dakika ya 86 aliyemalizia bao ni Sandro Ramírez hivyo Mtanange kumalizika kwa bao 6-0 Club Leon wakimaliza mchezo huo bila hata bao la kufutia machozi!!!
Suarez ametambulishwa leo mbele ya mashabiki wa Barca ambapo pia wamecheza mechi ya kirafiki na kushinda bao 6-0

Suarez akisalinia Mashabiki wa Barca leo walipokuwa wakijiandaa kucheza na timu ya Mexico Club Leon

Mambo safi!!! Luis Suarez ametambulishwa Rasmi leo jumatatu mbele ya Mashabiki wa Barcelona
Lionel Messi

Suarez (wa tatu kulia) wakiwa mbele ya Mashabiki wao leo

Suarez akiwapungia mkono Mashabiki

Majembe mapya!!! Thomas Vermaelen na Suarez katikati wakipata picha mbele ya Mashabiki wao leo huko Nou Camp.

Neymar akipongezwa











After the match:

Leo got the Man of the Match award







Munir and Ney with the trophy
No comments:
Post a Comment