
Warembo wa Redd's Miss Tanzania wakiwasili katika kambi ya
taifa ya warembo hao kwenye Hoteli ya Giraffe Ocean View jijini Dar es Salaam.
Warembo 30 wataanza kambi hiyo leo.

Mkurugenzi wa LINO Agency ambao ni waandaaji wa shindano la
Miss Tanzania, Hashimu Lundenga akisalimiana na mmoja wa warembo hao.

Meneja wa kinywaji cha Redd's Original, Victoria Kimaro
akizungumza na warembo wa shindano la Redd's Miss Tanzania waliowasili jijini
Dar es Salaam leo na kuingia moja kwa moja kambini kujiandaa na shindano la
taifa.

Hashimu Lundenga akiongea na warembo hao, kulia kwake ni
Meneja wa Kinywaji cha Redd's Original, Victoria Kimaro.
No comments:
Post a Comment