MANCHESTER UNITED 0 vs CHELSEA 0
Kipindi cha kwanza kilimalizika nguvu sawa ya bila
kufungana, huku Chelsea mchezaji wake Oscar akijaribu na kuonesha nia ya
kuipachikia bao Chelsea baada ya kujaribu mara kadhaa akiwa nje ya box. Wao
Manchester United wakitawala dakika kama 30 uwanjani na wakikosa nafasi
kadhaa.
Koha Moyes wa United uwanjani kwa mara ya kwanza akicheza mechi ya nyumbani ligi kuu tangu atue Klabuni hapo na hii ikiwa ni mechi yake kwanza kucheza na Chelsea ikiongozwa Jose Mourihno, wote wakiwa ni makocha wapya!!Rooney akionesha kiwango safi leo hiiWelbeck akituliza mpira kwa makini mbele ya Branislav Ivanovic wa Blues.Van Persie akikabwa na mtu mbili hapa..Kama haitoshi na makocha wengine walikuwepo!!! Everton manager Roberto Martinez na Man City boss Manuel Pellegrini...uendi popote!!....tulia!!
Mapema kabla ya mechi kuanza walianza kumwombea mchezaji wa zamani wa Manchester United na trainer Jack Crompton.
VIKOSI:
Manchester United: De Gea, Jones, Ferdinand, Vidic, Evra, Valencia (Young 67), Cleverley, Carrick, Welbeck (Giggs 78), Rooney, Van Persie.
Subs: Anderson, Smalling, Lindegaard, Kagawa, Buttner.
Chelsea: Cech, Ivanovic, Cahill, Terry, Cole, Ramires, Lampard, De Bruyne (Torres 60), Oscar, Hazard (Azpilicueta 93), Schurrle.
Subs: Essien, Mikel, Lukaku, Schwarzer, Mata.
Booked: De Bruyne, Torres.
Man United ndiyo
waliopata nafasi nzuri zaidi za ushindi na hata ‘kunyimwa Penati’ ya Kipindi cha
Pili pale shuti la Tom Cleverley lilipomgonga mkononi Frank Lampard na Refa
Martin Atkinson kupeta.
Rooney akicheza kwa
mara ya kwanza katika kipindi cha kwanza tangu msimu huu mpya uwanze ameonesha
kiwango cha hali ya juu akishirikiana na Van Persie. Kipindi cha pili pia
kimemalizika bila ya kufunga huku timu ya Manchester United ikicheza kwa
kujiamini na kuwapa kashkaji wachezaji wa Chelsea na kwa kuwakaba kisawasawa na
United kupoteza nafasi za kufunga katika kipindi hicho cha pili. Mpaka dakika 90
zinamalizika hakuna timu iliyoziona nyavu za mwenzake.
Hii ndio Sare ya
kwanza ya Man United ya 0-0 Uwanjani Old Trafford tangu Mei 2009 walipotoka Droo
ya 0-0 na Arsenal na kati yake zimepita Mechi 77 za Ligi.
Wayne Rooney,
Mchezaji ambae katika Wiki za hivi karibuni mara mbili alitolewa Ofa za
kununuliwa na Chelsea, alicheza kwa bidii mno, kung’ara na kukosa nafasi kadhaa
ambayo mojawapo nzuri iliokolewa na Kipa Petr Cech na kuchacharika huko
kuliwafanya Mashabiki wa Man United wapige mayowe kumshangilia: “Rooney,
Rooney!”
Nafasi murua kwa
Chelsea ni shuti la mbali la Beki Gary Cahil.
Sare hii inawapa alama moja moja kila timu huku Chelsea
wakiwa juu kileleni na pointi zao 7 na michezo 3 na Manchester United wakiwa na
pointi 4 michezo miwili tu. Majanga kwa Patrice Evra baada ya kuumiwa shingo na
mwenzake wakati wanaruka juu kugombania mpiraKoha Moyes wa United uwanjani kwa mara ya kwanza akicheza mechi ya nyumbani ligi kuu tangu atue Klabuni hapo na hii ikiwa ni mechi yake kwanza kucheza na Chelsea ikiongozwa Jose Mourihno, wote wakiwa ni makocha wapya!!Rooney akionesha kiwango safi leo hiiWelbeck akituliza mpira kwa makini mbele ya Branislav Ivanovic wa Blues.Van Persie akikabwa na mtu mbili hapa..Kama haitoshi na makocha wengine walikuwepo!!! Everton manager Roberto Martinez na Man City boss Manuel Pellegrini...uendi popote!!....tulia!!
Mapema kabla ya mechi kuanza walianza kumwombea mchezaji wa zamani wa Manchester United na trainer Jack Crompton.
VIKOSI:
Manchester United: De Gea, Jones, Ferdinand, Vidic, Evra, Valencia (Young 67), Cleverley, Carrick, Welbeck (Giggs 78), Rooney, Van Persie.
Subs: Anderson, Smalling, Lindegaard, Kagawa, Buttner.
Chelsea: Cech, Ivanovic, Cahill, Terry, Cole, Ramires, Lampard, De Bruyne (Torres 60), Oscar, Hazard (Azpilicueta 93), Schurrle.
Subs: Essien, Mikel, Lukaku, Schwarzer, Mata.
Booked: De Bruyne, Torres.
No comments:
Post a Comment