Elizaberth Michael (Lulu) akizungumza na wageni
waalikwa katika uzinduzi wa filamu ya Foolish Age iliyotengenezwa na Kampuni ya
Proin Promotion chini ya Mwenyekiti wake Jonson Lukaza ambaye ameweza kujitolea
kwa hali na mali mpaka kufanikisha utengenezaji wa filamu hii na uzinduzi kwa
ujumla, Uzinduzi huo unafanyika usiku huu. PICHA
NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE MLIMANI CITY.
Waigizaji wa filamu na wageni mbalimbali wakifuatilia filamu ya Lulu.

Tapeli Dude akifanya mambo yake wakati wa uzinduzi huo.

Mwanamuziki Barnaba Classic akiimba kwenye uzinduzi huo.

Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huo.

Elizabeth Michael (Lulu) akiwasili kwenye ukumbi wa Mlimani
City jijini Dar es salaam tayari kwa uzinduzi wa filamu yake inayokwenda kwa
jina la Foolish Age

Mwenyekiti
wa Kampuni ya Proin Promotion akizungumza na wageni waalikwa katika hafla ya
uzinduzi wa filamu ya Foolish Ege.

Lulu akilakiwa kwa mbwembwe na vijana walioandaliwa kwa
kazi hiyo.

Mwenyekiti wa kampuni ya Proin Promotion Bw. Jonson Lukaza
katikati akizungumza na baadhi ya waigizaji wa filamu Rich Rich na mwenzake

Jonson Lukaza akizungumza na baadhi ya wageni wake
waliohudhuria katika uzinduzi wa filamu hiyo

Muigizaji wa filamu Jacob Steven akizungumza na wageni wa
kampuni ya Proin Promotion katika uzinduzi huo

Muigizaji Vicent Kigosi Ray akiwasili katika uzinduzi huo
unaofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa Mlimani City.
No comments:
Post a Comment