MANCHESTER CITY YAIFUNGA BORUSSIA MONCHENGLADBACH MABAO 4-2, UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Raheem
Sterling alifunga bao mbili na kutengeneza mabao mengine Manchester
City walipoichabanga bao 4 kwa 2 Borussia Monchengladbach_ 4-2 na kukaa
kileleni kwenye Group D.Raheem Sterling akishangilia moja ya bao lake Kolarov kwenye patashika baada ya kutupwa nje ya Uwanja na kuangukia kwa waandishi wa HabariHatari tupu!!!Chupuchupu!! Borussia Monchengladbach nao wakishangilia bao lao moja wapo Silva akishangilia bao lake la kwanzaKikosi cha Man City
No comments:
Post a Comment