Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, October 29, 2015

MANCHESTER UNITED WATUPWA NJE KWA MIKWAJU YA PENATI CAPITAL ONE CUP

Dakika 90 bado ilikuwa ni 0-0 na mtanange kwenda dakika 120 nazo kutoka 0-0...Matuta yakaamua! Rooney alikosa penati ya kwanza, Carrick nae alikosa penati! Young nae alikosa penati!Maoumziko ya dakika 120Mpaka mapumziko ni 0-0Fellaini 
VIKOSI:
Manchester United:
Romero, Darmian, Smalling, Blind, Rojo; Carrick, Fellaini, Pereira, Lingard, Wilson, Memphis.
Akiba: De Gea, Young, Schweinsteiger, Herrera, Mata, Martial, Rooney.
Middlesbrough: Mejias, Kalas, Ayala, Gibson, Friend, Leadbitter, Stephens, Nsue, Downing, De Pena, Kike.
Akiba: Dimi, Amorebieta, Clayton, Fabbrini, Jackson, Nugent, Zucolini.
Refa: Lee Mason

Eeee Rooney
Fellaini akitawanya!Patashika likiendela...

No comments:

Post a Comment