Dakika
ya 65 kipindi cha Pili Martial aliisawazishia bao Man United na kufanya
1-1 baada ya kupata mpira kutoka kwa Antonio Valencia.Anthony Martial akipongezwa na wenzake wana Man United baada ya kusawazisha bao na makosa yake
Asante Martial! akipongezwa na Smalling
Zoran na Blind wakichuana vikali
Morgan kwenye patashika
De Gea akiokoa moja ya shuti kali langoni mwake
Pongezi kwa Doumbia
Seydou Doumbia
United hoi! wako nyuma ya bao 1-0
1-0
De Gea kwenye mshangao mara baada ya kufungwa bao
Hapa ndipo alipopangua mkwaju wa penati
Hatari tupu!
Martial kati
Martial
alinawa mpira mkono na refa kudai penati ipigwe kwa lango la Man United
na Timu ya CSKA Moscow kujipatia bao hilo baada ya kipa De Gea kupangua
na mchezaji Seydou Doumbia dakika ya 15 kumalizia mpira huo kwa kufanya
1-0 dhidi ya Man United.Kikosi cha Man United kilichoanza
Wakati wa kupasha mapema kabla ya mechi
VIKOSI:
Manchester United wanaoanza XI: De Gea, Valencia, Smalling, Jones, Rojo, Schweinsteiger, Schneiderlin, Lingard, Herrera, Martial, Rooney
Man Utd akiba: S.Romero, Blind, Darmian, Carrick, Mata, Fellaini, Memphis
CSKA Moscow wanaonza XI: Akinfeev, Fernandes, Ignashevich, Vasili Berezutski, Schennikov, Wernbloom, Zoran Tosic, Dzagoev, Eremenko, Musa, Doumbia
CSKA akiba: Chepchugov, Aleksei Berezutski, Nababkin, Cauņa, Milanov, Golovin, Panchenko
No comments:
Post a Comment