Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Monday, June 1, 2015

CHEKA AMKALISHA MCHINA KWA T.K.O PTA

 Bondia Francis Cheka (kulia) akipambana na Kiatchai Singwancha wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Cheka alishinda kwa T.K.O ya raundi ya nane
 Bondia Francis Cheka (kulia) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde  na Kiatchai Singwancha wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Cheka alishinda kwa T.K.O ya raundi ya nane
Bondia Shabani Kaoneka (kulia) akimtupia konde la nguvu Zumba Kukwe wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Kaoneka alishinda mpambano huo kwa pointi

Bondia Seleman Zugo (kushoto) akipambana na Twaha Kiduku wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita

Bondia Francis Cheka (kulia) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde  na Kiatchai Singwancha wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa P.T.A Sabasaba Cheka alishinda kwa T.K.O ya raundi ya nane

No comments:

Post a Comment