FELLAINI NA MATA WAIPA USHINDI UNITED WA 2-1 DHIDI YA STOKE CITY
Bao la kwanza limefungwa na M. Fellaini
kipindi cha kwanza dakika ya 21, Bao la kichwa na bao la pili lilifungwa
dakika ya 59 na Mata kwa frii kiki iliyonyookea moja kwa moja langoni
mwa lango la Stoke City. 1-1Fellaini ndie kaifungia bao Man United kwa kichwaWilson kaanza leo, Rooney hakucheza katika mechi hii.
No comments:
Post a Comment