Hata wa miaka 17 leo kacheza...ni Jordan Rossiter na kufanya Vyema!
Dakika 90 zilimalizika 1-1 na kupongezwa dakika 30 za ziada na dakika ya 109 Suso akaifungia bao la pili Liverpool.
kwenye dakika 120 zikiwa zimeongezwa dakika mbili tu za majeruhi Middlesbrough wakapata penati na mkwaju huo wa penati kufungwa na Patrick Bamford na kusawazisha kuwa 2-2 na mtanange kwenda kwenye hatua ya mikwaju ya penati baada ya kumalizika kwa dakika 120 kwa sare.
ADOMAH alikosa mkwaju wa penati kwa kupaisha juu! Na hatimae LIVERPOOL kushinda kwa mikwaju 14-13 ya penati!! Na Mikwaju kuishia hapo!!
Balotelli nae alifunga penati mbili usiku huu
Rickie Lambert akifanya yake..
Rossiter kijana mdogo akiendesha leo..
Rossiter akishangilia..
Vijana wa Liverpool wakipongezana na kumpongeza dogo wao
Meneja Brendan Rodgers
Adam Lallana akipambana na Lee Tomlin
Mtanange ukiendelea kupamba moto!
Raheem Sterling akikimbia na Kenneth Omeruo kuutafuta mpira..
No comments:
Post a Comment