Bondia
Thomasi Mashali kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na
Mada Maugo wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana Maugo
alishinda kwa point mpambano huo .
Bondia
Thomas Mashali kulia akimrushia konde la mkono wa kulia bondia Mada
Maugo wakati wa mpambano wao uliofanyika juzi katika uwanja wa Taifa
jijini Dar es salaam Maugo alishinda kwa point mpambano huo picha na
www.superdboxingcoach.blogspot.com.
No comments:
Post a Comment