Mlinzi wa kimataifa wa Ivory Coast Kolo Toure, anasema haondoki Liverpool ng'o |
Mlinzi
huyo wa kati aliwasili Anfield mwaka uliopita akitokea Manchester
City na taarifa za tetesi za hivi karibu zikisema huenda angeondoka
klabu hapo tangu kusajili kwa Dejan Lovren kwa ada ya pauni milioni £20
akitokea Southampton.
Toure hakuwa na msimu uliopita kufuatia kufanya makosa kadhaa mzurikatika michezo dhidi ya Hull City, West Brom na Fulham.
Baadhi ya mashabiki wamekuwa wakimlaumu kwa aina ya ulinzi wake.
No comments:
Post a Comment