Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, March 23, 2014

MANCHESTER CITY 5 v FULHAM 0, YAYA TOURE APIGA HAT-TRICK!

Manchester City wamepata bao la kwanza kwa mkwaju wa penati uliopigwa na Yaya Touré katika dakika ya 26 kipindi cha kwanza.
Mapumziko Manchester City 1-0 dhidi ya Fulham kwenye uwanja wa Etihad.
Mpigaji wa Hat-trick Yaya Toure akishangilia bao lake..
Kipindi cha pili dakika ya 54 Yaya Touré akaiongezea bao la pili kwa mkwaju wa penati tena na likiwa bao la pili kwa Yaya Toure. Kwa sasa ni 2-0 dhidi ya Fulham.
Yaya Touré dakika ya 65 akafunga bao la tatu na kufunga (Hat-trick) kwa kufanya 3-0 dhidi ya Fulham.
Dakika ya 84 Fernandinho aliwapachikia bao la nne na kufanya 4-0 huku Martín Demichelis akimaliza mechi kwa kuwachabanga bao la mwisho katika dakika za lala salama dakika ya 88 na kufanya mtanagnge kumalizika kwa 5-0.David Silva akikabwaYaya Toure alianzia hapa.Tutakomaa mpaka mwisho!!! Mashabiki wakitoa ujumbe wao!!Manuel Pellegrini kocha wa City.Alvaro Negredo alifanyiwa ndivyo sivyo hapa...kwenye eneo la penati...Majanga!!!Yaya Toure akishangilia bao lake baada ya kufunga bao kwa mkwaju wa penati

No comments:

Post a Comment