Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, March 30, 2014

LA LIGA: ESPANYOL 0 v BARCELONA 1, LIONEL MESSI AIFUNGIA BAO LA USHINDI BARCA UGENINI, WAPO KILELENI.


Lionel Messi akijaribu kumfunga kipa wa Espanyol goalkeeper Kiko Casilla

Gerard Pique wa Barcelona alipata nafasi ya kufunga hapa lakini mpira huo uliishia nje ya lango

Messi akijaribu kama ataweza kuwatoka wachezaji wa Espanyol

Lionel Messi akifunga bao katika dakika ya 76 kipindi cha pili kwa mkwaju wa penati.

Lionel Messi akishangilia bao lake la mkwaju wa penati kipindi cha pili dakika ya 76 baada ya kuwapa bao Barcelona na kufanya 1-0 dhidi ya Espanyol leo kwenye ligi ya La Liga
Kipa Casilla akizuia shuti la Neymar mchezaji wa Barcelona
VIKOSI:
Espanyol: Casilla; Fuentes, Hector Moreno (Sidnei 48), Colotto, Javi Lopez; Víctor Sanchez, David Lopez, Pizzi (Alex 65), Simao (Cordoba 78), Stuani, Sergio García
Substitutes not used: German, Raul Rodriguez, Víctor Alvarez, Abraham
Booked: Stuani, Colotto, Javi Lopez, Victor Sanchez, David Lopez
Sent off: Casilla
Barcelona: Pinto; Alves, Mascherano, Pique, Alba; Xavi, Busquets, Fabregas (Sergi Roberto 88), Neymar (Alexis 82), Messi, Pedro (Iniesta 78)
Substitutes not used: Oier, Bartra, Adriano, Tello
Scorer: Messi (pen) 76
Booked: Busquets

No comments:

Post a Comment