Bondia
Mohamed Matumla kushoto na Nassibu Ramadhani wakitunishiana misuli
baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao leo katika
ukumbi wa friends corner hotel manzese Dar es salaam leo katikati ni promota wa mpambano huo kaike siraju
Promota Kaike
Siraju akiwainua juu mikono Bondia Mohamed Matumla (kushoto) na
Nassibu Ramadhani kwa ajili ya mpambano wao wa kugombea pikipiki siku ya
sikukuu ya Xmasi
No comments:
Post a Comment