KING CLASS MAWE,IDDY MNYEKE WAJIFUA KAMBI YA ILALA KWA MCHEZO WA DESEMBA 31
Bondia
Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akioneshana umwamba wa kutupiana
makonde na Shabani Kaoneka wakazi wa mazoezi yao yanayoendelea katika
kambi ya ilala King Class Mawe anajiandaa kwa ajili ya mpambano wake na
Mohamed Kashinde utakaofanyika Desemba 31 katika ukumbi wa msasani klabu
Dar es salaam
Bondia
Iddy Mnyeke (kushoto) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na
Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi yao jana mambondia
hawo wanajiandaa na mchezo utakaofanyika Desemba 31 Mnyeke atacheza na
Cosmas Cheka na King Class Mawe atapambana na Mohamed Kashinde katika
ukumbi wa Msasani Klabu
Bondia Shabana
Kaoneka kushoto akipambana na Ibrahimu Class 'King CLASS MAWE' wakati
wa mazoezi yanayo endelea katika kamba ya ilala amana ccm king class
mawe anajiandaa na mpambano yake na Mohamed Kashinde utakaofanyika
Desemba 31 katika ukumbi wa Msasani Klabu Dar es salaam
Bondia Iddy Mnyeke (kushot) akioneshana umwamba wa
kutupiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi
yao jana mabondia hawo wanajiandaa na mchezo utakaofanyika Desemba 31
Mnyeke atacheza na Cosmas Cheka na King Class Mawe atapambana na Mohamed
Kashinde katika ukumbi wa Msasani Klabu
No comments:
Post a Comment