Mshambuliaji wa Real Madrid amejibu maombi ya radhi kutoka kwa bosi mkubwa shirikisho la soka duniani FIFA Sepp Blatter kwa kudharau akiamini kuwa amekuwa na msimu mzuri zaidi.
Mshambuliaji huyo ameonekana kucheka tu juu ya maombi ya radhi ya Blatter baada ya mchezo dhidi ya Atletico Madrid
Blatter aliomba radhi kupitia Twitter baada ya kutoa maoni yake juu ya Ronaldo alipokuwa akiwahutubia wanafunzi wa Oxford Union mwezi Oktoba.
Alipoulizwa kama alipokea simu kutoka kwa bosi huyo wa mpira wa miguu duniani iliyokuwa na lengo la kuomba radhi, mshambuliaji huyo alijibu.
Alipoulizwa kama alipokea simu kutoka kwa bosi huyo wa mpira wa miguu duniani iliyokuwa na lengo la kuomba radhi, mshambuliaji huyo alijibu.
“I don’t have a telephone. My secretary forgot to tell me about it."
Ronaldo alichukizwa na maoni ya Blatter alipokaririwa akisema mmoja anatumia gharama kubwa kutengeneza nywele zake kuliko mwingine pale alipotakiwa kutoa maoni kwa kumlinganisha Lionel Messi na mshambuliaji huyo.

No comments:
Post a Comment