KUFURU LA BIRTHDAY PARTY LA SUPER STAR DIAMOND NA BABES WAKE WA UKWHEEEEH!! SUPER PENNY!! HAWA NI WAKAREEEZ SO WAACHENI WALALE BASI KIDOGO DAAAAMN!!
Ujumbe mzuri na umejitosheleza sidhani kama kuna swali jingine tena.
Hii ndo habari ya Mujini weekend hii #sawaaaaaaaaa
Penny umetishaaaaa salute to u

Mambo ya D na P
Mapenzi ya ukweee'
Wasafiiiiiiiiiiiii na unambiwaa ACTIONS SPEAK LOUDER THAN WORDS.
Well picha zinaongea tena sana na hii ilikuwa ni jana katika party ya
Birthday ya Prezident wa Wasafi Diamond Platnumz. Party ilikuwa na watu
wengine kama vile dada zake Diamond Halimakimwana, Queen Darleen &
Esma Platnumz.
Dada ya Diamond aka wifi yake Penny akionjeshwa cake.

Shirikisho
la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeteua waamuzi kutoka Burundi
kuchezesha mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia kwa wanawake chini ya miaka
20 Kanda ya Afrika kati ya Tanzania na Msumbiji.
Waamuzi
hao watakaochezesha mechi hiyo ya kwanza ya raundi ya kwanza
itakayofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kati ya Oktoba 26 na 27
mwaka huu wataongozwa na Ines Niyonsara. Atasaidiwa na Jacqueline
Ndimurukundo na Axelle Shikana.
Irene
Namiburu kutoka Uganda ndiye atakayekuwa mwamuzi wa mezani wakati
Kamishna wa mechi hiyo ni Evelyn Awuor wa Kenya. Mechi ya marudiano
itachezwa jijini Maputo kati ya Novemba 9 na 10 mwaka huu, na
itachezeshwa na waamuzi kutoka Madagascar.
Fainali
hizo za Kombe la Dunia zitafanyika mwakani nchini Canada, ambapo
Tanzania inashiriki kwa mara ya kwanza michuano hiyo ya Kombe la Dunia
kwa wasichana.
Timu ya Tanzania tayari imepiga kambi mkoani Pwani ikiwa chini ya Kocha wake Rogasian Kaijage.
Wachezaji
walioko kambini ni Amina Ally, Amina Ramadhan, Amisa Athuman, Anastazia
Anthony, Anna Hebron, Belina Julius, Donisia Daniel, Esther Mayala,
Fatuma Issa, Gerwa Lugomba, Happiness Lazoni, Harriet Edward, Hellen
Maduka, Irene Ndibalema, Jane Cloud, Khadija Hiza na Latifa Salum.
Wengine
ni Maimuna Hamis, Mwanaidi Khamis, Najiati Abbas, Neema Paul, Niwael
Khalfan, Rehema Abdul, Sabahi Hashim, Sada Ramadhan, Shamimo Hamis,
Shelder Boniface, Stumai Abdallah, Tatu Idd, Therese Yona, Violet
Nicholas, Vumilia Maarifa, Yulitha Kimbuya na Zena Said.
No comments:
Post a Comment