Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Monday, July 22, 2013

CHELSEA YAIFUNGA MALAYSIA XI BAO 4-1, MASHABIKI HUKO KUALA LUMPUR WAFURAHI!!

CHELSEA wakicheza leo huko Kuala Lumpur, Malaysia wameipiga Kombaini ya Malaysia Bao 4-1. 

Hadi Mapumziko Chelsea walikuwa mbele kwa Bao 3-0.
Katika Kipindi cha Pili, Chelsea waliingia na Timu mpya kasoro Van Ginkel na Hazard na kuongeza Bao moja lakini na Malaysia wakafunga Goli lao pekee na Mechi kwisha Bao 4-1.

Hii ni Mechi ya pili kwa Chelsea huko Asia na ya kwanza walicheza huko Bangkok, Thailand na kuifunga Singha All-Stars Bao 1-0.
Chelsea watasafiri kwenda Indonesia ambako Alhamisi Julai 25 watacheza na BNI Indonesia All-Stars Mjini Jakarta ikiwa ni Mechi yao ya mwisho Bara la Asia.
Jose akiteta na wachezaji
It's above you! Branislav Ivanovic battles for the ball with Idlan Talaha
Branislav Ivanovic leo ndiye aliyeonekana muda mwingi na hapa alikuwa na mchezaji  Idlan Talahawakigombea mpira kwa kichwa.
 Branislav Ivanovic akijaribu kumkinga mchezaji  Amri Yahyah wa Malaysia hasipite!
 Romelu Lukaku akiruka juu kumpita mchezaji wa Malaysia Azizi Matt RoseHupiti hapa!!
Cleared: Chelsea keeper Mark Schwarzer rises ahead of John terry and Asraruddin Putra Omar to punch the ball clear
Kipa mpya  Mark Schwarzerakisaidiwa na John Terry kwenye eneo la Hatari
Jose Mourinho kama kawaida na hapa alikuwa akiangalia patashika kwenye mtanange wake na timu ya Malaysia jioni ya leoKipa mpya wa Chelsea leo tulia kwanza!! hapa...Malaysia wakishangilia bao lao hapa
True colours: These early arrivals to the Shah Alam Stadium make their loyalties known
Mashabiki wakimkaribisha kocha mpya wa Chelsea kwenye uwanja wa  Shah Alamleo hii jioni

True colours: These early arrivals to the Shah Alam Stadium make their loyalties known
True colours: These early arrivals to the Shah Alam Stadium make their loyalties known

No comments:

Post a Comment