Wachezaji wa Everton wakichukua muda mfupi kuomba kabla ya mtanange kuanza.
Ligi kuu England imeendelea tena leo, QPR wakifungwa bao 2-0 na Everton. Bao la kwanza la Everton limefungwa na mchezaji Darron Gibson dakika ya 40 kipindi cha kwanza likifatiwa na bao la dakika ya 56 la mchezaji Victor Anichebe. Kipigo hicho cha QPR kinawarudisha tena nyuma na kushikilia nafasi ya kumi na 19 wakiwa juu ya Reading ambao wapo mkiani ambao pia leo wameikomalia timu ya majogoo Liverpool bila kufungana.
Kocha wa Everton David Moyes akijiandaa kupokea mpira usitoke nje na kulia ni kocha mpya wa QPR Harry Redknapp akitoa maelekezo
Victor Anichebe kushoto akiwa kwenye patashika golini na kipa
Victor Anichebe akifurahia baada ya kushinda bao dakika ya 56 kipindi cha pili
Loic Remy, Jermaine Jenasna Ji-Sung Park wote wa QPR wakionekana wamechoka kwa kipigo hicho cha bao 2-0 kutoka kwa Everton
VIKOSI:
EVERTON: Howard, Coleman, Jagielka, Distin, Baines, Mirallas (Naismith 86), Osman (Jelavic 81), Gibson, Pienaar, Fellaini, Anichebe. Subs not used: Mucha, Heitinga, Oviedo, Hitzlsperger, Barkley.
Goals: Gibson 40, Anichebe 56
Booked: Fellaini, Pienaar, Gibson
QPR: Cesar, Bosingwa, Samba, Hill, Onuoha, Townsend, Jenas, Park (Taarabt 61), Granero (Diakite 73), Hoilett, Remy. Subs not used: Green, Mackie, Da Silva, Ben Haim, Borhroyd.
Booked: Bosingwa, Townsend, Granero
Referee: Lee Mason

No comments:
Post a Comment