Timu zote zikiingia
Uwanjani.
Kikosi cha Libolo
FC
Kikosi cha
Simba.
Nahodha wa Simba, Juma
Kaseja na mwenzake Maieco Antonio wakisalimia kabla ya mchezo.
Waamuzi wa mchezo wa Simba
na Libolo wakiwa katika picha ya pamoja na manahodha wa timu
Beki wa timu ya Libolo FC
ya angola, Antonio Cassule akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba,
Haruna Moshi ‘Boban’ wakati wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliogfanyika
leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Libolo FC ilifungwa
1-0.
Amri Kiemba akimtoka beki wa
Libolo FC, Pedro Ribeiro.
Beki wa Simba, Shomari
Kapombe akimtoka beki wa Libolo FC ya Angola, Pedro Ribeiro.
Beki wa Simba, Juma Nyoso
akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Libolo FC, Antonio Cassule.
Mshambuliaji wa Simba,
Mrisho Ngasa akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa Libolo FC, Gamaniel
katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam. Libolo imeshinda 1-0.
Kipa wa Libolo FC,
Landu Mavanga akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
Beki wa Simba, Shomari Kapombe akipata matibabu
baada ya kuumia.
No comments:
Post a Comment