Mchezo wa mieleka umefutwa katika orodha ya michezo ya Olimpiki kuanzia 2020.Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki imechukua hatua hiyo ili kutoa nafasi kwa mchezo mpya kuingizwa. Kamisheni ya Mipango ya Kamati hiyo ilipitia ufanisi wa kila mchezo ulioshiriki ‘London Games’ kabla ya kutoa maamuzi.Uamuzi
wa kuwa sasa ni mchezo upi utaongezwa wakati wa 2020, utafanyika wakati
Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki itakapokutana Buenos Aires mwezi
Septemba.
No comments:
Post a Comment