Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, February 16, 2013

AZAM DIMBANI LEO NA AL NASIR YA SUDAN KUSINI UWANJA WA TAIFA

Wawakilishi wa Tanzania Bara, Azam FC leo watafungua dimba na Al Nasir ya Sudan Kusini kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika,CAF. Michuano hii ilianza jana na inatarajiwa kuendelea leo na kesho katika viwanja mbalimbali barani.


Wachezaji wa Azam wakifanya mazoezi jana jioni uwanja wa Taifa

 

No comments:

Post a Comment