Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, December 20, 2012

JOSEPHAT CHARO ACHUKUA MIKOBA YA OTHMAN MIRAJI WA DW ALIYESTAAFU

Mtangazaji Mwandamizi wa Dw, Josephat Charo Jumatano Desemba 19, 2012 amebeshwa  rasmi mikoba ya Othman Miraji aliyestaafu hivi karibuni kuwa Kiongozi wa Idhaa ya Kiswahili ya DW. Kushoto ni Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili Andrea Schmidt na kulia Josephat Charo baada ya kutangaza wadhfa huo katika hafla maalum mjini Bonn.
 Wafanyakazi wakifurahi pamoja baada mkuu wa Idhaa hiyo Andrea Schmidt kumtangaza Josephat Charo kuwa ni miongoni mwa wasaidizi wake wa karibu.
Mkuu wa Idhaa Kiswahuli  Andrea Schmidt na Josephat Charo wakikata keki.
 Kutoka kushoto Josephat Charo, Abdul Mtullya, Sylivia Mwehozi na Bruce Amani.
 Kutoka kushoto Josephat Charo, Nina Markgraf, Sudi Mnette,



Wafanyakazi wote wa DW walikabidhiwa zawadi ya X Mass ambayo ni kitabu hiki ambacho  Sudi Mnette amekishika. Zawadi hiyo ilitoka kwa Mkuu wa Idhaa Andrea Schmidt.

No comments:

Post a Comment