YANGA YAKABIDHIWA JEZI NA SPORTPESA, MKEMI ATOA DONGO KWA WATANI ZAO
Yanga imekabidhiwa jezi na wadhamini wao kampuni ya SportPesa huku Mjumbe wa kamati ya Utendaji wa klabu hiyo Salum Mkemi akitoa dongo kwa watani zao kuwa wamechukua madera ya shughuli kwa sababu wanakaa karibu na Kariakoo.
No comments:
Post a Comment