Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, November 25, 2015

Kunahitajika Huduma ya Kwanza MichezoniKukosekana  kwa watu wa huduma ya kwanza na machela ya kuchukulia wachezaji wanaoaumia uwanjani ni jambo la hatari sana, pichani viongozi wa Timu ya Msumari ya Tundauwa wakimbeba mchezaji wao baada
ya kuumia, katika mchezo wa ligi daraja la pili taifa Pemba, Msumari kushinda goli 3-1 dhidi ya Black Wizard.
(Picha na Abdi Suleiman, Pemba)