MANCHESTER UNITED YAMNUNUA MORGAN SCHNEIDERLIN KUTOKA SOUTHAMPTON KWA KITITA CHA £25M.
Morgan
Schneiderlin atakuwa ni wa pili kusajiliwa na klabu ya Manchester
United Msimu 2015/2016 na atajiunga na Mashetani wekundu wiki ijayo
Jumatano Dirsha la Usajili litakapofunguliwa rasmi. Manchester
United wamekamilisha usajili huo kwa kutoa kitita cha £25million kwa
Morgan Schneiderlin – na taarifa zaidi kutoka Klabuni humo zinadai kuwa
usajili unaendelea na ambao wamewaweka kwenye anga zao ni Kipa Jasper
Cillsessen pamoja mchezaji wa Bayern Munich Bastian Schweinsteiger.
No comments:
Post a Comment