Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, October 30, 2014

BONANZA LA BUKOBA VETERAN LAFANA

Asubuhi mapema yalianza Matembezi ya hiari na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. Fabian Massawe alijumuika Matembezi hayo na kisha baadae kuendelea na Bonanza la kuhamasisha Michezo MKOA WA KAGERA kwenye Uwanja wa Kaitaba ambalo limeandaliwa na Bukoba Veteran.Bonanza kubwa kufanyika hapa Kagera mwezi wa 12 ambapo litashirikisha Mikoa mbalimbali kama Arusha, Mwanza, Dodoma Morogoro..nk
Ambao watakaoshiriki Bonanza hilo ni zile Timu za Veteran katika Mikoa hiyo husikka itakayopewa nafasi ya kuharikwa Mkoani Kagera. Vijana wa Bukoba Veteran wakifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Kaitaba. kwenye Bonanza la kuhamasisha Michezo Mkoani Kagera.Michezo mablimbali imefanyika katika Bonanza hilo ikiwemo Mchezo wa kuvuta Kamba, kukimbiza kuku, Mpira wa miguu ambao Uwamezikutanisha Timu za Veteran kutoka Wilaya mbalimbali za hapa Kagera.  Timu za mpira wa Miguu kutoka Muleba Veteran, Bukoba Veteran, Kagera Sugar Veteran, Kamachumu Veteran  na Timu ya Uhuru sport Club

No comments:

Post a Comment