Bosi wa Manchester United Sir Alex Fergusonakimwaga wino kwa wapenzi wa United usiku huu kabla ya mtanange kuanza.
Wayne Rooney akiachia mkwaju mkali kuiua Reading
Bosi wa Reading Eamonn Dolan akiwapa maelekezo wachezaji wake
Ryan Giggs akiendesha kama kawaida yake na hapa yupo na mchezaji Jobi McAnuff wakipambana
Man Utd: De Gea, Smalling, Ferdinand, Vidic, Buttner, Welbeck, Giggs, Anderson, Young, Rooney, Van Persie.
Subs: Lindegaard, Evans, Valencia, Hernandez, Carrick, Powell, Kagawa.
Goal: Rooney 21.
Reading: Taylor, Kelly, Pearce, Mariappa,
Shorey, Karacan, Leigertwood, McAnuff, Robson-Kanu, McCleary, Hunt.
Subs: McCarthy, Gunter, Le Fondre, Morrison, Harte, Akpan, Blackman.
Subs: McCarthy, Gunter, Le Fondre, Morrison, Harte, Akpan, Blackman.
Referee: Mark Clattenburg (Tyne & Wear
No comments:
Post a Comment