Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, October 20, 2017

KOCHA MSAIDIZI SIMBA, MASOUD DJUMA ALIVYOWASILI

 Kocha msdizi mpya kutoka nchni Rwanda aliwa amewasili kuifundisha Simba katita Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam. PICHA NA DOUBLE J BLOG


Mratibu wa timu ya Simba, Abas Ali (kulia akiongoza na kocha mpya wa timu hiyo, Masoud Djuma, wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam jana
Mratibu wa timu ya Simba, Abas Ali (kushoto), akisalimiana na kocha msaidizi mpya wa timu hiyo, Masoud Djuma, wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam jana