United kuilipa Chelsea £40million
Matic kuungana na Kocha wake wa zamani wa Chelsea Jose Mourinho ambaye kwa sasa anakinoa kikosi cha Man United huko Old Trafford.
Nemanja Matic alivalia jezi No 31, jezi ambayo ilikuwa inavaliwa na Bastian Schweinsteiger
No comments:
Post a Comment